Unaweza kunakili anakala asili bila vivuli na mashimo yaliyotobolewa.

Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, kisha uwezeshe Ondoa Kivuli au Ondoa Mashimo ya Panchi au urekebishe ubora wa taswira Ubora wa Taswira.
Bainisha mipangilio inavyohitajika, na kisha uteue Sawa.
Donoa
kwenye kichupo cha Nakili.