Vipengee vya Kuleta Mpangilio vya Cheti Iliyotiwa sahihi na CA

Vipengee

Mipangilio na Ufafanuzi

Server Certificate

Teua umbizo la cheti.

Private Key

Ukipokea cheti cha umbizo la PEM/DER kwa kutumia CSR iliyoundwa kutoka kwenye kompyuta, bainisha faili ya ufunguo faragha ambayo inalingana na cheti.

Password

Iwapo umbizo wa faili ni Certificate with Private Key (PKCS#12), ingiza nywila kwa ajili ya kusimba ufunguo faragha unaowekwa unapopata cheti.

CA Certificate 1

Iwapo umbizo la cheti chako ni Certificate (PEM/DER), leta cheti kutoka kwa mamlaka ya kutoa cheti inayotoa CA-signed Certificate inayotumika kama seva ya cheti. Bainisha faili unayohitaji.

CA Certificate 2

Iwapo umbizo la cheti chako ni Certificate (PEM/DER), leta cheti kutoka kwa mamlaka ya kutoa cheti inayotoa CA Certificate 1. Bainisha faili unayohitaji.