> Maelezo ya Msimamizi > Mipangilio Mahiri ya Usalama > Kudhibiti Kutumia Itifaki > Itifaki unaweza Kuwezesha au Kulemaza

Itifaki unaweza Kuwezesha au Kulemaza

Itifaki

Ufafanuzi

Bonjour Settings

Unaweza kubainisha iwapo utatumia Bonjour. Bonjour hutumika katika kutafuta vifaa, kuchapisha na kadhalika.

SLP Settings

Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha SLP. SLP hutumika katika utambazaji wa kusukuma na utafutaji wa mtandao katika EpsonNet Config.

WSD Settings

Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha WSD. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuongeza vifaa vya WSD, na uchapishe kutoka kwenye kituo cha WSD.

LLTD Settings

Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha LLTD. Hii ikiwezeshwa, inaonyeshwa kwenye ramani ya mtandao ya Windows.

LLMNR Settings

Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha LLMNR. Hii ikiwezeshwa, unaweza kutumia ubainifu wa jina bila NetBIOS hata kama huwezi kutumia DNS.

LPR Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa LPR au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kituo cha LPR.

RAW(Port9100) Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka katika kituo cha RAW (Kituo cha 9100). Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika kituo cha RAW (Kituo cha 9100).

RAW(Custom Port) Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka katika kituo cha RAW (kituo maalum). Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika kituo cha RAW (kituo maalum).

IPP Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka kwenye IPP au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika mtandao.

FTP Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa FTP au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kupitia seva ya FTP.

SNMPv1/v2c Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv1/v2c au la. Hii inatumika kusanidi vifaa, kufuatilia na kadhalika.

SNMPv3 Settings

Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv3 au la. Hii inatumika kusimba vifaa kwa njia fiche, kufuatilia na kadhalika.