Teua mbinu ya uchapishaji kutoka kwenye E-Web Print Toolbar.
Weka mipangilio ya karatasi, na kisha ubofye kitufe cha Print.