Mipangilio ya Uchapishaji (Mac OS PostScript)

  1. Teua Vipengele vya Kichapishi kutoka katika menyu ya kidukizo, na kisha uteue Output kutoka kwenye Vikundi vya Kipengele.

  2. Teua nafasi ya kutoboa shimo kutoka kwenye Toboa.

  3. Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.

  4. Bofya Chapisha.