Teua Kukamilisha kutoka kwenye menyu ibukizi, na kisha uteue chaguo kutoka kwenye mpangilio wa Panga.
Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.
Bofya Chapisha.
Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Mac OS
Chaguo za Menyu za Ukamilishaji