Upangaji Hamishi:
Huondoa kila seti ya nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao.
Teua eneo la stepla.
Teua eneo la shimo linalotobolewa. Huonyeshwa wakati kitengo cha kutoboa kimesakinishwa.
Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho. Unaweza kuweka ukingo wa uunganishaji, pambizo la uunganishaji na kuunda vijitabu vilivyokunjwa kwenye skrini ya mpangilio wa uunganishaji.