> TumiKutumia Vipengee vya Hiari > Kihitimishi cha kitini (Booklet Finisher) > Kutumia Kikamilisha Kijitabu > KuondoaKuondoa Kila Kikundi cha Machapisho kwa Utarazaji wa Mshono au Ukunjaji kutoka kwenye Hifadhi

KuondoaKuondoa Kila Kikundi cha Machapisho kwa Utarazaji wa Mshono au Ukunjaji kutoka kwenye Hifadhi

Unaweza kuchapisha faili kutoka kwenye hifadhi, na kisha kuondoa kila kikundi cha machapisho kwa utarazaji wa mshono au ukunjaji.

  1. Teua Hifadhi kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua folda ambapo faili unayotaka kuchapisha imehifadhiwa, na kisha uteue faili.

  3. Teua Mipangilio ya Chapa.

  4. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Kijitabu.

  5. Teua Taraza au Mkunjo Nusu, kisha uwezeshe mipangilio.

  6. Weka mipangilio ya kina kama vile idadi ya laha za kutaraza mshono au kukunja, na mipangilio ya karatasi.

    Kumbuka:

    Iwapo kijitabu au karatasi itabaki kwenye trei ya kijitabu, hutaweza kuanzisha uchapishaji wa kuunganisha kitabu. Hakikisha kwamba hakuna chochote kwenye trei ya kijitabu.

  7. Donoa .