|
Itifaki |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
Bonjour Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utatumia Bonjour. Bonjour hutumika katika kutafuta vifaa, kuchapisha na kadhalika. |
|
SLP Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha SLP. SLP hutumika katika utambazaji wa kusukuma na utafutaji wa mtandao katika EpsonNet Config. |
|
WSD Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha WSD. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuongeza vifaa vya WSD, na uchapishe kutoka kwenye kituo cha WSD. |
|
LLTD Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha LLTD. Hii ikiwezeshwa, inaonyeshwa kwenye ramani ya mtandao ya Windows. |
|
LLMNR Settings |
Unaweza kuwezesha au kulemaza kitendaji cha LLMNR. Hii ikiwezeshwa, unaweza kutumia ubainifu wa jina bila NetBIOS hata kama huwezi kutumia DNS. |
|
LPR Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa LPR au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kituo cha LPR. |
|
RAW(Port9100) Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka katika kituo cha RAW (Kituo cha 9100). Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika kituo cha RAW (Kituo cha 9100). |
|
RAW(Custom Port) Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka katika kituo cha RAW (kituo maalum). Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika kituo cha RAW (kituo maalum). |
|
IPP Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji kutoka kwenye IPP au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kutoka katika mtandao. |
|
FTP Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu uchapishaji wa FTP au la. Hii ikiwezeshwa, unaweza kuchapisha kupitia seva ya FTP. |
|
SNMPv1/v2c Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv1/v2c au la. Hii inatumika kusanidi vifaa, kufuatilia na kadhalika. |
|
SNMPv3 Settings |
Unaweza kubainisha iwapo utaruhusu SNMPv3 au la. Hii inatumika kusimba vifaa kwa njia fiche, kufuatilia na kadhalika. |