Kuwezesha Mpangilio wa Kufunga kutoka kwenye Kompyuta

  1. Fikia Web Config kisha ubofye Log in.

  2. Ingiza nenosiri kisha ubofye OK.

  3. Teua kichupo cha Device Management > Control Panel.

  4. Kwenye Panel Lock, teua ON.

  5. Bofya OK.

  6. Angalia kwamba imeonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.