Weka karatasi katika kichapishi.
Fungua faili unayotaka kuchapisha.
Nenda kwa mawasiliano ya uchapishaji.

Fanya mipangilio ifuatayo.
Teua Taarifa ya Karatasi fkutoka kwenye menyu ibukizi, na kisha uteue chanzo cha karatasi ambapo ulipakia karatasi.

Teua Vipengele vya Kichapishi kutoka kwenye menyu ibukizi, teua Quality kama mpangilio wa Kikundi cha Vipengele, na kisha uteue aina ya karatasi ya kupakia kama mpangilio wa MediaType.

Teua Color kama mpangilio wa Vikundi vya Vipengele, na kisha uteue mpangilio kwa Color Mode.

Bofya Chapisha.