> TumiKutumia Vipengee vya Hiari > Ubao wa Ethaneti (10/100/1000 Base-T,Ethernet) > Orodha ya Vitendaji Unapotumia Mtandao wa Ziada

Orodha ya Vitendaji Unapotumia Mtandao wa Ziada

Vitendaji

Wastani

Ya Ziada

Maelezo husiani

Kuchapisha

Kuchapisha kutoka katika kompyuta

Utambazaji

Kutambaza kutoka katika kompyuta

Tambaza kwenye Barua pepe

*3

*3

Kusanidi Seva ya Barua

Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Tambaza kwenye Kabrasha

*3

*3

Kuweka Kabrasha Lililoshirikiwa La Mtandao

Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Tambaza kwenye Document Capture Pro

*3

*3

Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Tambaza kwenye Wingu

-

Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Kutuma Faksi

Kutuma na kupokea faksi kutoka kwenye kompyuta

-

Tuma Faksi kwenye Barua pepe

*3

*3

Kusanidi Seva ya Barua

Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Tuma Faksi kwenye Kabrasha

*3

*3

Kuweka Kabrasha Lililoshirikiwa La Mtandao

Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Kushiriki data kwenye kifaa cha kumbukumbu cha nje

Kushiri Data kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Huduma za Epson Connect

-

Kuchapisha kwa kutumia Huduma ya Wingu

Kisasisha Programu ya EPSON

-

Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)

Kusasisha programu dhibiti

-

Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)

Mipangilio ya mtandao

Kusanidi anwani ya IP

*1

*1

Kukabidhi Anwani ya IP (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Kuweka seva ya proksi

-

Kusanidi Seva ya Proksi (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Kusanidi kutoka Web Config

*1

*1

Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

Kusanidi seva ya LDAP

*3

*3

Kusanidi Seva ya LDAP

KuteKuteua Mtandao ulio na Seva ya LDAP (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Taarifa ya barua pepe

*2

*2

Kusanidi Seva ya Barua

Kusanidi Taarifa ya Barua Pepe (Unapotumia Mtandao wa Ziada)

Kusanidi nenosiri la msimamizi

*1

*1

KusanKusanidi Nenosiri la Msimamizi kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kusanidi Nenosiri la Msimamizi kutoka kwenye Kompyuta

Kusanidi Nenosiri la Msimamizi kutoka kwa Mtandao wa Ziada

Mipangilio mahiri ya usalama

Uchujaji wa IPsec/IP

*1

*1

Mawasiliano Yaliyosimbwa Fiche kwa Kutumia Uchujaji wa IPsec/IP

IEEE 802.1X

*1

*1

Kuunganisha Kichapishi kwenye Mtandao wa IEEE802.1X

Jukwaa Wazi la Epson

-

Kutumia Epson Open Platform

✔ = Inapatikana.

- = Haipatikani.

*1: Unahitaji kuweka mipangilio kwa kila mtandao.

*2: Unaweza kutumia mtandao wa kawaida au za ziada kutuma kwa wapokeaji kwa kila ufikio.

*3: Inapatikana tu kwa mtandao ama wa kawaida au wa ziada.