Wakati wa kubadilisha kibweta cha stepla, ujumbe unaonyeshwa kwenye skrini ya LCD. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kubadilisha kibweta.
Ufuatao ni msimbo wa kibweta.
Kibweta cha Stepla: C12C934911*
* Ina angalau stepla 1000.
Usiondoe kibweta isipokwa ikiwa ni kufuta rundo la stepla au kubadilisha mpya.
Usifungue sehemu
inayoonyeshwa hapa chini.
