Sanidi cheti cha mteja ili kutumia kitendaji cha cheti cha S/MIME.
Fikia Web Config na uteue kichupo cha Network Security > S/MIME > Client Certificate.
Bainisha cheti cha kutumia katika Client Certificate.
Bofya Next.
Ujumbe wa uthibitishaji unaonyeshwa.
Bofya OK.
Kichapishi kimesasishwa.