> TumiKutumia Vipengee vya Hiari > Orodha ya Vipengee vya Hiari

Orodha ya Vipengee vya Hiari

Kumbuka:

Vipengee sawa vya hiari huenda haviwezi kuuzwa katika eneo lako. Ona tovuti ya msaada wa Epson ya eneo lako kwa ajili ya maelezo zaidi.

Nambari.

Kipengee cha Hiari

Msimbo

Muhtasari

Manual Stapler

C12C934361

C12C934371 (Kwa watumiaji walio nchini India)

Hukuruhusu kubana kwa kuingiza tu karatasi unayotaka kubana.

Stepla ya kikuli (Manual Stapler)

Optional Cassette Unit

C12C932611

C12C932621 (Kwa watumiaji walio nchini India, Bangladesh, Sri Lanka)

Hukuruhusu kupakia hadi laha 500 za katatasi tupu (64–90 g/m2).

Kitengo cha kaseti ya karatasi (Optional Cassette Unit)

Printer Stand

C12C934321

C12C934331 (Kwa watumiaji walio nchini India)

Tumia standi ya kichapishi kila unaposakinisha kuchapishi kwenye sakafu, la sivyo huenda kikaanguka.

Kiegemezi cha kichapishi (Printer Stand)

Nambari.

Kipengee cha Hiari

Msimbo

Muhtasari

10/100/1000 Base-T, Ethernet

C12C934471

C12C934481 (Kwa watumiaji walio nchini India)

Mitandao ya LAN yenye nyaya mbili inapatikana. Kasi ya mawasiliano ni kioleosura ya kasi ya juu inayotumia 1 Gbit/s.

Ubao wa Ethaneti (10/100/1000 Base-T,Ethernet)

Super G3/G3 Multi Fax Board

C12C934491

C12C935271 (Kwa watumiaji walio nchini Australia na Nyuzilandi)

C12C934501 (Kwa watumiaji walio nchini India)

C12C935691 (Kwa watumiaji walio nchini Taiwani)

Unaweza kuongeza hadi laini 2. Unaweza kuitumia kama faksi, au kutumia faksi ya mtandao kutuma na kupokea nyaraka kwenye kompyuta. Vilevile, unaweza kuunganisha laini nyingi za simu kwa kuongeza bodi ya faksi. Hii hukuruhusu kutuma kwenye ufikio kadhaa baada ya muda mfupi au unaweza kuweka laini moja maalum ya kupokea faksi hivyo kupunguza muda ambao huwezi kupokea simu.*

Ubao wa faksi (Super G3/G3 Multi Fax Board)

*: Simu za nje hazipatikani.