Fikia Kichupo cha Mipangilio ya Udhibiti

Huenda matumizi ya kichapishi yamezuiwa na msimamizi. Uchapishaji unapatikana baada ya kusajili akaunti yako kwenye kiendeshi cha kichapishi. Wasiliana na msimamizi kwa maelezo kuhusu akaunti yako ya mtumiaji.

Fikia Mipangilio ya Udhibiti:

Weka Fikia Mipangilio ya Udhibiti.

Usajili wa Mtumiaji:

Hukuwezesha kuingiza jina la mtumiaji na nenosiri.

Jina la Mtumiaji:

Ingiza jina la mtumiaji.

Nenosiri:

Ingiza nenosiri.