> Maelezo ya Msimamizi > Mipangilio Mahiri ya Usalama > Mipangilio ya S/MIME > Kusanidi Mipangilio ya Msingi ya S/MIME

Kusanidi Mipangilio ya Msingi ya S/MIME

Sanidi usimbaji fiche wa barua pepe na kiambatisho cha cheti cha kidijitali kwenye barua pepe kwa kila kitendaji unachotumia.

  1. Fikia Web Config na uteue kichupo cha Network Security > S/MIME > Basic.

  2. Teua kila kipengee.

  3. Bofya Next.

    Ujumbe wa uthibitishaji unaonyeshwa.

  4. Bofya OK.

    Kichapishi kimesasishwa.