Chagua ukubwa wa karatasi na idadi ya nakala.
Teua ukubwa wa karatasi unayotaka kuchapishwa.
Weka idadi ya nakala unazotaka kuchapisha.
Weka vipengee vifuatavyo vya menyu.
Hukuwezesha kupunguza au kuongeza ukubwa wa waraka.
Huweka mabadiliko ya fonti hadi Fonti ya TrueType.