Matengenezo

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Matengenezo

Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa:

Teua kipengele hiki ili iangalie kama nozeli za kichwa cha kuchapisha zimeziba.Kichapishi huchapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.

Usafishaji Kichwa cha Chapa:

Teua kipengele hiki ili kusafisha nozeli zilizoziba katika kichwa cha kuchapisha.

Saddle Stitch Folding Position Adjustment:

Teua kipengee hiki ili kurekebisha upya nafasi ya ukunjaji.

Saddle Stitch Binding Position Adjustment:

Teua kipengee hiki ili kurekebisha upya nafasi ya mshono wa tandiko.

Half Folding Position Adjustment:

Teua kipengee hiki ili kurekebisha upya nafasi ya kujikunja nusu.

Staple Position Adjustment:

Teua kipengele hiki ili kuinua sindano wakati wa kubadilisha stepo.

Maelezo ya Rola ya Matengenezo:

Teua kipengee hiki ili kuangalia maishaya huduma ya ukarabari kaseti ya karatasi. Unaweza pia kuweka upya kaunta yako ya ukarabati.