Teua folda kwenye skrini ya Folder List kisha uteue Fungua ili utazame orodha ya faili zilizo kwenye folda.

|
|
Tafuta waraka kwa kuingiza jina la waraka au la mtumiaji. |
|
|
Panga faili kulingana na vipengee. Unaweza kubadili mpangilio kati ya ndogo au kubwa. |
|
|
Huonyesha vijipicha vya faili. Ikoni ya ufunguo inaonyeshwa iwapo nenosiri limewekwa kwa faili. |
|
|
Hubadili onyesho la waraka kati ya vijipicha na orodha. |
|
|
Weka idadi ya nakala za machapisho. |
|
|
Huonyesha menyu ya Mipangilio ya Chapa. |
|
|
Teua kufuta faili baada ya kuchapisha. |
|
|
Teua kitendo unachotaka kutekeleza kama vile kukagua, kutoa au kufuta faili, au unaweza kubadilisha jina la faili, watumiaji na manenosiri kutoka hapa. |
|
|
Anza kuchapisha faili. |