Teua ili kuchapisha kutoka upande wa juu au ukurasa wa mwisho. Iwapo utateua Nyuma hadi Mbele, kurasa zinawekwa kwenye mpororo kwenye mpangilio sahihi kulingana na idadi ya kurasa baada ya uchapishaji.
Umbizo la Ukurasa
Kurasa kwa kila Laha
Kurasa kwa kila Muundo wa Karatasi:
Hukuwezesha kubainisha muundo wa ukurasa unapochapisha kurasa nyingi kwenye karatasi mmoja.
Kijitabu
Uunganishaji wa Kijitabu:
Teua nafasi ya uunganishaji kwa kijitabu.
Chora Mipaka
Teua hii iwapo unataka kuweka mstari wa mpaka kwa kila ukurasa unapochapisha kurasa nyingi kwenye laha moja au unapounda kijitabu.