Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Huonyesha jumla ya idadi ya machapisho yakijumuisha vipengee kama vile laha la hali kutoka wakati ulinunua kichapishi. Ukiteua Chapisha Laha, Karatasi ya Historia ya Matumizi huchapishwa.
Unaweza pia kuangalia idadi ya kurasa zilizochapishwa kutoka kwenye utendakazi mwingine kwenye Krtasi ya Historia Matumizi.