Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.
|
Matumizi |
Ufikio (Seva) |
Itifaki |
Nambari ya Kituo |
|---|---|---|---|
|
Kutuma barua pepe (Wakati taarifa ya barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya SMTP |
SMTP (TCP) |
25 |
|
SMTP SSL/TLS (TCP) |
465 |
||
|
SMTP STARTTLS (TCP) |
587 |
||
|
POP kabla ya Muunganisho wa SMTP (Wakati taarifa ya barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya POP |
POP3 (TCP) |
110 |
|
Wakati Epson Connect inatumika |
Seva ya Epson Connect |
HTTPS |
443 |
|
XMPP |
5222 |
||
|
WSD ya Udhibiti |
Komptyuta ya mteja |
WSD (TCP) |
5357 |
|
Matumizi |
Ufikio (Seva) |
Itifaki |
Nambari ya Kituo |
|---|---|---|---|
|
Kutuma faili (Wakati uchapishaji wa FTP unatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Kichapishi |
FTP (TCP) |
20 |
|
21 |
|||
|
Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi. |
Kichapishi |
ENPC (UDP) |
3289 |
|
Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi. |
Kichapishi |
SNMP (UDP) |
161 |
|
Kusambaza data ya LPR |
Kichapishi |
LPR (TCP) |
515 |
|
Kusambaza data ya RAW |
Kichapishi |
RAW (Port 9100) (TCP) |
9100 |
|
Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS) |
Kichapishi |
IPP/IPPS (TCP) |
631 |
|
Kutafuta kichapishi cha WSD |
Kichapishi |
WS-Discovery (UDP) |
3702 |
|
Web Config |
Kichapishi |
HTTP (TCP) |
80 |
|
HTTPS (TCP) |
443 |