> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Epson inapendekeza utumie rola halali za uchukuaji za Epson.

Ifuatayo ni misimbo.

Kwa ajili ya nchi zote isipokuwa India, Bangladesh, Butani, Maldova, Sri Lanka na Nepali

Kaseti ya karatasi ya 1 (Rola ya mlisho wa karatasi kwa kaseti ya A): C12C938261

Kaseti ya karatasi ya 2 hadi 4 (Rola ya mlisho wa karatasi kwa kaseti ya B): C12C938281

Kwa ajili ya India, Bangladesh, Butani, Maldova, Sri Lanka na Nepali

Kaseti ya karatasi ya 1 (Rola ya mlisho wa karatasi kwa kaseti ya A): C12C938271

Kaseti ya karatasi ya 2 hadi 4 (Rola ya mlisho wa karatasi kwa kaseti ya B): C12C938291