> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows > Kuchapisha Kazi Iliyolindwa kwa Nenosiri

Kuchapisha Kazi Iliyolindwa kwa Nenosiri

Unaweza kuweka nenosiri kwa kazi ya chapisho ili kuanza kuchapishwa tu baada ya kuingiza nenosiri kwenye paneli ya udhibiti ya kichapishi.

  1. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi cha Chaguo Zaidi, teua Kazi ya Siri, na kisha uingize nenosiri, na ubofye SAWA.

  2. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

  3. Bofya Chapisha.

  4. Ili kuchapisha kazi, teua Chapisha Kutoka Kumb'u Ndani kwenye skrini ya nyumbani ya paneli dhibiti ya kichapishi. Teua kazi unayotaka kuchapisha, na kisha uingize nenosiri.