Chagua ukubwa wa karatasi na idadi ya nakala.
Teua ukubwa wa karatasi unayotaka kuchapishwa.
Weka idadi ya nakala unazotaka kuchapisha.
Weka vipengee vifuatavyo vya menyu.
Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji.
Hukuwezesha kupunguza au kuongeza ukubwa wa waraka.
Huweka mabadiliko ya fonti hadi Fonti ya TrueType.
Hukuwezesha kuunda mipangilio kwa vipengele vya uchapishaji.
Hukuwezesha kuunda mipangilio ya hiari.
Huhifadhi wino kwa kupunguza uzito wa chapisho.
Huzungusha data nyuzi 180 kabla ya kuchapisha.