Unaweza kuangalia takriban ya viwango vya wino na maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo kutoka kwenye paneli dhibiti ya kichapishi. Teua
kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Ifuatayo inaashiria kiwango cha nafasi huru kwenye kikasha cha matengenezo.
A: Nafasi huru
B: Kiwango cha wino ulioharibika

Unaweza kuendelea kuchapisha wakati ujumbe wa kupungua kwa wino umeonyeshwa. Badilisha kitengo cha kutoa wino kinapohitajika.
Pia unaweza kuangalia makadirio ya viwango vya wino na makadirio ya maisha ya huduma ya kisanduku cha matengenezo kutoka kwenye kiwambo cha hali kwewnye kiendeshi cha kichapishi.
Windows
Bofya EPSON Status Monitor 3 kwenye kichupo cha Utunzaji.
Ikiwa EPSON Status Monitor 3 imelemazwa, bofya Mipangilio Iliyorefushwa kwenye kichupo cha Utunzaji, na kisha uteue Wezesha EPSON Status Monitor 3.
Mac OS
Apple menyu > Mapendeleo ya Mfumo > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi) > Epson(XXXX) > Chaguo na Usambazaji > Matumizi > Fungua Matumizi ya Kichapishaji > EPSON Status Monitor