Huchapisha ruwaza ya ukaguaji nozeli ili kuangalia iwapo nozeli za kichwa cha kuchapisha zimeziba.
Usafishaji wa Kichwa cha Kuchapisha
Husafisha nozeli zilizoziba katika kichwa cha kuchapisha. Kwa sababu kipengele hiki hutumia baadhi ya wino, safisha kichwa cha kuchapisha tu ikiwa nozeli imezibika. Chapisha ruwaza ya ukaguzi nozeli na kisha uteue Safisha.
Laiti ya Kipangaji cha Kazi
Hufungua dirisha la Laiti ya Kipangaji cha Kazi. Hapa unaweza kufungua na kuhariri data iliyohifadhiwa awali.
EPSON Status Monitor 3
Hufungua dirisha la EPSON Status Monitor 3. Unaweza kuthibitisha hali ya kichapishi na matumizi yake hapa.
Inachunguza Mapendeleo
Hukuruhusu kuunda mipangilio kwa vipengee kwenye dirisha la EPSON Status Monitor 3.
Mipangilio Iliyorefushwa
Hukuruhusu kuunda mipangilio mbalimbali. Bofya kulia kila kipengee ili kuona Msaada kwa maelezo zaidi.
Foleni ya U'haji
Huonyesha kazi zinazosubiri kuchapishwa. Unaweza kuangalia, kusitisha, au kuendelea na kazi za kuchapisha.
Maelezo ya Printa na Chaguo
Unaweza kusajili akaunti za mtumiaji. Iwapo kidhibiti cha ufikaiji kimewekwa kwenye kichapishi, lazima usajili akaunti yako.
Lugha
Hubadilisha lugha ya kutumiwa kwenye dirisha la kiendeshi cha kichapishi. Ili kutekeleza mipangilio, funga kiendeshi cha kichapishi, na kisha ukifungue tena.
Kisasisho cha Programu
Huanza EPSON Software Updater kutafuta toleo jipya zaidi la programu kwenye mtandao.
Msaada wa Kiufundi
Iwapo mwongozo umesakinishwa kwenye kopmyuta yako, mwongozo huonyeshwa. Iwapo haujasakinishwa, unaweza kuunganisha kwenye tovuti ya Epson ili kuangalia mwongozo na usaidizi wa kiufundi unaopatikana.