Ukiona kutolingana kwa mistari wima au picha zenye ukungu, linganisha kichwa cha kuchapisha.
Teua Matengenezo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Ulainishaji Kichwa.
Teua mojawapo ya menyu za kupangilia.
Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini.