Unaweza kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuangalia hali kati ya kichapishi na kipanga njia pasiwaya.
Teua
kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Maelezo > Wakati huwezi kuunganisha kwenye mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho.
Ukaguzi wa muunganisho unaanza.
Fuata maagizo kwenye skrini ya kichapishi ili kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao.
Ikiwa hitilafu imetokea, wasiliana na msimamizi wako.