Karatasi Halali ya Epson

Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.

Kumbuka:
  • Karatasi halali ya Epson haipatikani unapochapisha kwa kiendeshi cha kichapishi cha kimataifa cha Epson.

  • Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu aina za karatasi zinazopatikana kwa uchapishaji wa pande 2.

    Karatasi la Kuchapishwa Upande 2

  • Wakati unachapisha kwenye karatasi halisi ya Epson kwa ukubwa uliowekwa na mtumiaji, mipangilio ya ubora wa chapa wa Wastani au Normal ndio hupatikana tu. Ijapokuwa baadhi ya viendeshi vya printa hukuruhusu uchague ubora wa juu wa chapa, chapa huchapishwa kwa kutumia Wastani au Normal.

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Epson Business Paper

A4

Hadi kwenye mstari unaoonyeshwa na alama ya kwenye mwongozo wa ukingo.

80

Epson Bright White Ink Jet Paper

A4

200

400

50

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka na picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Mkanda 1 wa Karatasi

Mkanda 2 hadi 4 wa Karatasi

Trei ya Karatasi

Epson Photo Quality Ink Jet Paper

A4

80

80

70

Epson Matte Paper-Heavyweight

A4, 20×25 cm (8×10 in.)

50

50

20

Epson Double-Sided Matte Paper

A4

50

50

20