Wakati muunganisho wa Wi-Fi Direct wa (AP Rahisi) unalemazwa, kompyuta zote na vifaa maizi vilivyounganishwa kwenye kichapishi katika muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) vinatenganishwa. Iwapo unataka kukata muunganisho wa kifaa maalum, kata muunganisho kutoka kwenye kifaa badala ya kichapishi.
Teua Wi-Fi kwenye skrini ya mwanzo ya printa.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Wi-Fi Direct.
Maelezo ya Wi-Fi Direct yanaonyeshwa.
Bonyeza kitufe cha OK.
Teua
.
Teua Lemaza Wi-Fi Direct.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.