Huduma zisizopatikana huonyeshwa lakini haziwezi kuteuliwa.
|
Jina la Huduma |
Aina ya Itifaki |
Nambari ya Ndani ya Kituo |
Nambari ya Mbali ya Kituo |
Vipengele vimedhibitiwa |
|---|---|---|---|---|
|
Any |
– |
– |
– |
Huduma zote |
|
ENPC |
UDP |
3289 |
Kituo chochote |
Kutafuta kichapishi kutoka programu kama vile Epson Device Admin na kiendeshi cha kichapishi |
|
SNMP |
UDP |
161 |
Kituo chochote |
Kutafuta na kusanidi MIB kutoka kwenye programu kama vile Epson Device Admin, na kiendeshi cha kichapishi |
|
LPR |
TCP |
515 |
Kituo chochote |
Kusambaza data ya LPR |
|
RAW (Port9100) |
TCP |
9100 |
Kituo chochote |
Kusambaza data ya RAW |
|
IPP/IPPS |
TCP |
631 |
Kituo chochote |
Kusambaza data ya uchapishaji ya IPP/IPPS |
|
WSD |
TCP |
Kituo chochote |
5357 |
Kudhibiti WSD |
|
WS-Discovery |
UDP |
3702 |
Kituo chochote |
Kutafuta kichapishi kutoka WSD |
|
FTP Data (Local) |
TCP |
20 |
Kituo chochote |
Seva ya FTP (kusambaza data ya uchapishaji ya FTP) |
|
FTP Control (Local) |
TCP |
21 |
Kituo chochote |
Seva ya FTP (inayodhibiti uchapishaji wa FTP) |
|
HTTP (Local) |
TCP |
80 |
Kituo chochote |
Seva ya HTTP(S) (kusambaza data ya Usanidi wa Wavuti na WSD) |
|
HTTPS (Local) |
TCP |
443 |
Kituo chochote |
|
|
HTTP (Remote) |
TCP |
Kituo chochote |
80 |
Mteja wa HTTP(S) (kuwasiliana kati ya Epson Connect, usasishaji wa programu dhibiti na usasishaji wa cheti kikuu) |
|
HTTPS (Remote) |
TCP |
Kituo chochote |
443 |