Teua jinsi mpangilio wa faili ya Multi-TIFF. 1-juu ni ya kuchapisha ukurasa mmoja kwa kila laha. 20-juu ni ya kuchapisha kurasa 20 kwa kila laha moja. Kiolezo ni ya kuunda uchapishaji wa kiolezzo kwa maelezo.
Tosheza Fremu
Teua On ili kupuna picha ili kuteshea kwenye muundo wa chapisho ulioteuliwa kiotomatiki. Ikiwa mgao uwiano wa data ya picha na ukubwa wa karatasi ni tofauti, picha hupanuliwa au kupunguzwa kiotomatiki ili pande zile fupi zilingane na pande fupi za karatasi. Upande mrefu wa picha hukatwa ikiwa unazidi upande mrefu wa karatasi. Kipengele hiki huenda kisifanye kazi kwa picha za panorama.
Ubora
Teua Bora kwa ubora wa juu wa uchapishaji, lakini kasi ya uchapishaji inaweza kupungua.
Agizo la Chapa
Teua mpangilio ya uchapishaji wa kurasa anuwai wa faili.
Tarehe
Teua umbizo la tarehe ambayo picha ilipigwa au kuhifadhiwa. Tarehe haichapishwi kwa baadhi ya miundo.