| Mip'o ya Ucha'uzi | ||||||
| Thibitisha Mpokeaji |
Angalia eneo pokezi kabla ya kutambaza. |
|||||
| Programu ya Unasaji Waraka |
Ukitambaza kwa kutumia menyu ya Kompyuta kwenye paneli dhibiti, weka modi ya operesheni na vitu vingine ili vilingane na kompyuta ambapo Document Capture Pro imesakinishwa. |
|||||
| Hali ya Matumizi |
Weka modi ya operesheni. Teua Hali ya Mteja iwapo Document Capture Pro imesakinishwa kwenye Windows au Mac OS. Teua Hali ya Seva iwapo Document Capture Pro imesakinishwa kwenye Windows Server. |
|||||
| Anwani ya Seva |
Ingiza anwani ya seva ukiteua Hali ya Seva. |
|||||
| Mi'pngilio ya Kundi |
Wezesha mipangilio ya kikundi kwenye kichapishi. Tumia kipengee hiki wakati ambapo umewezesha mipangilio ya kikundi kwenye Document Capture Pro. Hii ikiwezeshwa, weka nambari ya kikundi katika Kikundi. |
|||||
| Seva ya Barua pepe |
Weka mipangilio ya seva ya barua pepe kwa utambazaji wa Barua pepe. Teua Mipangilio ya Seva ili kubainisha mbinu ya uhalalishaji ili kichapishi kufikia seva ya barua pepe. Vipengee vya Mpangilio wa Seva ya Pepe Unaweza kuangalia muunganisho kwenye seva ya barua kwa Ukaguzi wa Muunganisho. |
|||||