| Mipangilio ya Faksi | ||||||
| Kitufe cha Matumizi ya Haraka |
Kupangia hadi vipengee vitatu vinavyotumika kila mara kama vile Kumbukumbu ya Upitishaji na Aina Asili kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Kitufe cha Matumizi ya Haraka, huonyesha vipengee upande wa juu wa kichupo cha Mipangilio ya Faksi. |
|||||
| Mipangilio ya Utambazaji | ||||||
| Mwonekano |
Teua mwonekano wa faksi inayotoka. Iwapo utateua mwonekano wa juu, ukubwa wa data unakuwa mkubwa na inachukua muda ili kutuma faksi. |
|||||
| Uzito |
Huweka uzito wa faksi inayotoka. + hufanya uzito kolevu zaidi, na - huufanya mwepesi. |
|||||
| Aina Asili |
Teua aina ya nakala yako asili. |
|||||
| Ondoa Mand'yuma |
Hutambua rangi ya karatasi (rangi ya mandharinyuma) ya waraka asili, na kuondoa au kuweka rangi kuwa hafifu. Kulingana na ukolevu na uwazi wa rangi, inaweza kuondolewa au kufanywa kuwa hafifu |
|||||
| Ukali |
Huboresha au kuondoa ulengaji wa muhtasari wa taswira. + huboresha kali, na - huondoa ulengaji wa ukali. |
|||||
| ADF Pande 2 |
Huchanganua pande zote za hati halisi zilizowekwa katika ADF na kutuma faksi ya rangi moja. |
|||||
| Uta'ji Unao'a ADF |
Kutuma faksi kwa kuweka nakala asili moja baada ya nyingine, au kwa kuweka nakala asili kwa ukubwa, unaweza kuzituma kama waraka mmoja kwa ukubwa wake asili. Kutuma Nyaraka zenye Ukubwa Tofauti kwa Kutumia ADF (Uta'ji Unao'a ADF) |
|||||
| Ukubwa Asili (Glasi) |
Teua ukubwa na uelekeo wa waraka halisi uliyowekwa kwenye glasi ya kichanganuzi. |
|||||
| Hali ya Rangi |
Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu. |
|||||
| Mipangilio ya Kutuma Faksi | ||||||
| Tuma Moja kwa Moja |
Hutuma faksi ya rangi moja inapotambaza nakala asili. Kwa kuwa nakala asili zilizotambazwa hazihifadhiwi kwa muda kwenye kumbukumbu ya kichapishi hata wakati wa kutuma kiwango kikubwa cha kurasa, unaweza kuzuia makosa ya kichapishi kwa sababu ya kutokuwa na kumbukumbu. Kumbuka kuwa kutuma kwa kutumia kipengele hiki huchukua muda mrefu kuliko kutotumia kipengele hiki. Huwezi kutumia kipengee hiki wakati:
Kutuma Kurasa Nyingi za Hati Yenye Rangi Moja (Tuma Moja kwa Moja) |
|||||
| Kipaumbele cha Kutuma |
Hutuma faksi ya sasa kabla ya faksi nyingine zinazosubiri kutumwa. |
|||||
| Tuma Faksi Baadaye |
Hutuma faksi wakati ambao ulibainisha. Faksi ya rangi moja tu ndio inayopatikana wakati unatumia chaguo hili. Kutuma Faksi kwenye Rangi moja katika Muda wa Siku Uliobainishwa (Tuma Faksi Baadaye) |
|||||
| Ongeza Maelezo ya Mtumaji |
|
|||||
| Niarifu kuhusu Ma'o ya Kutuma |
Hutuma taarifa baada ya kutuma faksi. |
|||||
| Mpokeaji |
Teua mpokeaji kutoka kwa orodha ya waasiliani ili kumtumia taarifa baada ya kutuma faksi. |
|||||
| Ripoti ya Upitishaji |
Huchapisha ripoti ya usambazaji baada ya wewe kutuma faksi. Chapisha Hitilafu Ikitokea huchapisha ripoti wakati kosa hutokea tu. Wakati Ambatisha Taswira ya Faksi kwenye ripoti imewekwa kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Ripoti, faksi zilizo na makosa pia huchapisha pamoja na ripoti. |
|||||
| Chelezo |
Huhifadhi chelezo cha faksi iliyotumwa ambayo imetambazwa na kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kichapishi kiotomatiki. Kipengele cha chelezo kinapatikana wakati:
|
|||||
| Mfikio wa Chelezo |
Fanya moja kati ya chaguo zifuatazo, na kisha uteue ufikio.
|
|||||