Wakati chapisho halijaboreshwa baadaya kulinganisha kichwa cha kuchapisha au kusafisha njia ya karatasi, filamu angavu iliyo ndani ya kichapishi inachafuka.
Vipengee vinavyohitajika:
Pamba (nyingi)
Maji yaliyo na sabuni kidfogo (matone 2 hadi 3 kwenye kikumbe 1/4 cha maji ya mfereji)
Mwangaza wa kuangalia uchafu
Usitumie kioevu chochote cha kusafisha kando na maji yaliyo na matone kiasi ya sabuni.
Zima kichapishi kwa kubonyeza kitufe cha
.
Funga jalada la waraka iwako liko wazi.
Fungua kitengo cha kitambazaji kwa mikono miwili hadi kijifunge.
Angalia iwapo utepe nzito imechafuka. Ni rahisi kuona uchafu iwapo unatumia mwangaza.
Iwapo kuna uchafu (kama vile alama za vidoile au grisi) kwenye filamu angavu (A), nenda kwenye hatua inayofduata.

A: filamu angavu
B: reli
Tahadhari usiguse reli (B). Vinginevyo, huenda usiweze kuchapisha. Usipanguse grisi kwenye reli, kwa sababu inahitajika kwa operesheni.
Weka maji kwenye pamba pamoja na matone kiasi ya sababu ili maji yasiwe mengi zaidi, na kisha pangusa sehemu iliyochafuka.
Kuwa mwangalifu usiguse wino ambao umeweka ndani ya printa.

Pangusa uchafu polepole. Iwapo utafinyilia zaidi pamba kwenye filamu, springi za filamu zinaweza kuondolewa katika nafasi yake na kichapishi kinaweza kuharibika.
Tumia pamba kavu ili kupangusa filamu.
Usiache nyuzi zozote kwenye filamu.
Ili kuzuia kuenea kwa uchafu, badilisha pamba kila mara kwa nyingine mpya.
Rudia hatua ya 5 na 6 hadi filamu iwe safi.
Hakikisha kuwa filamu haina ucxhafu.
Funga kitengo cha kitambazaji.
Kitengo cha kitambazaji kimeundwa ili kufunga taratibu na kukataa kidogo kama kuzuia vidole vyako kukamatwa. Endelea kufunga hata ikiwa unahisi inakataa kidogo.