Utafiti wa Wateja

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Utafiti wa Wateja

Hutoa maelezo ya matumizi ya bidhaa kama vile idadi ya machapisho, kwa Seiko Epson Corporation. Teua MipangilioIdhinisha, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini.