> Kukarabati Kichapishi > Kuangalia Hali ya Vitumika

Kuangalia Hali ya Vitumika

Unaweza kuangalia takriban ya viwango vya wino na maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo kutoka kwenye paneli dhibiti ya kichapishi. Teua kwenye skrini ya nyumbani.

Kumbuka:
  • Pia unaweza kuangalia makadirio ya viwango vya wino na makadirio ya maisha ya huduma ya kisanduku cha matengenezo kutoka kwenye kiwambo cha hali kwewnye kiendeshi cha kichapishi.

    • Windows

      Bofya EPSON Status Monitor 3 kwenye kichupo cha Utunzaji.

      Ikiwa EPSON Status Monitor 3 imelemazwa, bofya Mipangilio Iliyorefushwa kwenye kichupo cha Utunzaji, na kisha uteue Wezesha EPSON Status Monitor 3.

    • Mac OS

      Apple menyu > Mapendeleo ya Mfumo > Printa na Vichanganuzi (au Chapisha na Changanua, Chapisha na Utume Faksi) > Epson(XXXX) > Chagua na Vifaa > Matumizi > Fungua Matumizi ya Printa > EPSON Status Monitor

  • Unaweza kuendelea kuchapisha wakati ujumbe wa kupungua kwa wino umeonyeshwa. Badilisha katriji za wino unapohitajika.