> Kukarabati Kichapishi > Kuboresha Ubora wa Uchapishaji, Nakala na Utambazaji > Kusafisha Kijia cha Karatasi na Umwagikaji wa Wino

Kusafisha Kijia cha Karatasi na Umwagikaji wa Wino

Wakati uchapishaji una uchafu au kuchakaa, safisha kibiringizaji kiicho ndani.

  1. Teua Matengenezo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Usfshaji Mwongzo wa Krtasi.

  3. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kupakia karatasi na kusafisha njia ya karatasi.

  4. Rudia utaratibu huu hadi karatasi iwache kuchafuliwa na wino.

  5. Wakati tatizo haliwezi kuondolewa baada ya kusafisha njia ya karatasi, sehemu iliyo ndani ya kichapishi ambayo imeonyeshwa kwenye kielelezo inalainishwa. Zima kichapishi, na kisha upanguse wino kwa kutumia pamba.

    Muhimu:
    • Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani ya kichapishi. Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.

    • Usiguse sehemu iliyoonyeshwa kwenye kielelezo kifuatacho. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha hitalifu.