Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Vitendaji vya Mwongozo
Vitendaji vya Mwongozo
Karatasi Hailingani
Huonyesha tahadhari iwapo mipangilio ya karatasi (mipangilio ya chapisho) ya kazi ya chapishohailingani na mipangilio ya karatasi ya kichapishi iliyoundwa ulipopakia karatasi. Mpangilio huu huzuia uchapishaji usiofaa.