Kwa watumiaji wa Ulaya
Seiko Epson Corporation inatangaza kuwa modeli ifuatayo ya kifaa cha redio inazingatia Maelekezo ya 2014/53/EU. Matini kamili ya azimio la EU la maafikiano linapatikana katika tovuti ifuatayo.
http://www.epson.eu/conformity
C635B
Kwa matumizi nchini Ayalandi, Uingereza, Austria, Ujerumani, Lishenteni, Uswisi, Ufaransa, Ubelgiji, Lusembagi, Uholanzi, Italia, Ureno, Uhispania, Denimaki, Ufini, Norwei, Uswidi, Aisilandi, Kroatia, Kibros, Ugiriki, Slovenia, Malta, Bulgaria, Ucheki, Estonia, Hungaria, Latvia, Lithuania, Polandi, Romani, na Slovakia.
Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi kunakotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa.
