> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni wa Chini > Ubora wa Nakala ni wa chini > Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kwa sababu taswira imepanuliwa kidogo, sehemu inayochomoza inapogolewa.

Suluhisho

Teua mpangilio mdogo wa upanuaji.

Teua Nakala mbalimbali > Nakala Isiyo na mipaka > Mipangilio Mahiri > Upanuzi kwenye paneli dhibiti, na kisha ubadlishe mpangilio.