> Katika Hali Hizi > Kuhifadhi Nishati

Kuhifadhi Nishati

Kichapishi kinaingia katika modi ya kulala au kujizima kiotomatiki ikiwa hakuna kazi zinafanywa kwa muda uliwekwa. Unaweza kurekebisha muda kabla ya udhibiti wa nishati kutekelezwa. Ongezeko lolote litaathiri ufanisi wa nishati ya bidhaa. Tafadhali zingatia mazingira kabla ya kufanya mabadiliko yoyote.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Mipangilio Msingi.

  3. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Teua Kipima saa cha Kulala au Mip'ilio ya Kuzima > Zima Ikiwa Haitumiki au Zima ikiwa Imetenganishwa.
    • Teua Kipima saa cha Kulala au Kipima Saa ya Kuzima.
    Kumbuka:

    Huenda bidhaa yako ina kipengele cha Mip'ilio ya Kuzima au Kipima Saa ya Kuzima kulingana na eneo la ununuzi.

  4. Teua mpangilio.