> Kuweka Karatasi > Kupakia Karatasi > Kuweka Karatasi

Kuweka Karatasi

Unaweza kupakia karatasi kwa kurejelea uhuishaji unaoonyeshwa kwenye skrini ya LCD ya kichapishi.

Teua , na kisha uteue Jinsi ya > Pakia karatasi.

Teua Maliza ili kufunga skirini ya uhuishaji.