Teua chanzo cha karatasi ambacho karatasi huingizwa. Teua Uteuzi Otomatiki ili kuteua kiotomatiki chanzo cha karatasi kilichoteuliwa kwenye mipangilio ya kichapishi.
Teua aina ya karatasi unayochapisha.
Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji. Chaguo zinatofautiana kulinagana na aina ya karatasi.
Kikasha pokezi hiki kinateuliwa wakati unateua ukubwa wa karatasi usio na kingo.
Katika uchapishaji wa bila mipaka, data ya uchapishaji hukuzwa kiasi kidogo zaidi ya ukubwa wa karatasi ili kusiwe na pambizo zinachapishwa kando ya kingo za karatasi.
Ukuzaji: Teua kiasi cha ukuzaji.
Teua wakati unataka kuchapisha kwa rangi nyeusi au kijivu.
Hugeuza picha ili iweze kuchapisha kama vile ingeonekana kwenye kioo.