Mwongozo wa Kuteua Skrini ya Picha (Tile View)

Unaweza kuteua picha kutoka kwa skrini ya kijipicha.Hii ni muhimu unapoteua picha chache kutoka kwa idadi kubwa ya picha.

Hukurudisha kwenye skrini ya awali.

Huonyesha Select Photo Menu ambayo hukuruhusu kuteua picha kwa urahisi.

Donoa picha na uziteue.Picha zilizoteuliwa zina alama za ukaguzi na idadi ya alama kwazo.