Ukimpatia mtu mwingine printa au kuitupa, futa taarifa yote ya kibinafsi iliyowekwa katika kumbukumbu ya printa kwa kuchagua Settings > Restore Default Settings > All Settings katika paneli dhibiti.