Teua idadi ya kurasa za kuchapishwa kwenye laha moja.
Bainisha mpangilio ambao kurasa zinafaa kuchapishwa.
Huchapisha mpaka kwenye kurasa.
Huzungusha kurasa nyuzi 180 kabla ya kuchapisha. Teua kipengee hiki unapochapisha kwenye karatasi kama vile bahasha zilizopakiwa katika mwelekeo thabiti kwenye kichapishi.
Hugeuza picha ili kuichapisha kama itakavyoonekana kwenye kioo.