> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu > Programu ya Kuweka Mipangilio > Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

Web Config ni programu ambayo huendeshwa katika kivinjari cha wavuti, kama vile Internet Explorer na Safari, kwenye kompyuta na kifaa mahiri. Unaweza kuthibitisha hali ya printa au kubadilisha huduma ya ntandao na mipangilio ya printa. Ili utumie Web Config, unganisha printa na kompyuta au kifaa kwenye mtandao mmoja.

Vivinjari vifuatavyo vinakubaliwa.

Microsoft Edge, Internet Explorer 8 au mpya, Firefox*, Chrome*, Safari*

* Tumia toleo jipya.